Nyumba inauzwa Tshs: 95 Millioni

Nyumba inauzwa Tshs: 95 Millioni

Soppa

New Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Plot ina nyumba ya vyumba vitatu, Master, jiko, store, Car park, Vyumba viwili vya nje. Ina ukubwa wa 17mita kwa 36mita.

Inatazamana na Magorofa ya sigara, inapakana na barabara ya Segerea-Mandera Unapata Mandhari nzuri ya anga la Uwanja wa ndege.

Kuna eneo zuri la bustani mbele na nyuma ya nyumba.
 
Attachments

  • DSCN2866.JPG
    DSCN2866.JPG
    279.3 KB · Views: 264
Hujui kutangaza biashara.Ama niseme ni tatizo tulilo nalo kama Taifa.Sasa mbona kama umeipiga nyumba picha kwa mbali?What about inside.Unasema kuna eneo kubwa la bustani mbele,why not post a pic?Ama hujui "it speaks a thousand words"?
 
Hata akiweka picha 100 utanunua??
 
Hata akiweka picha 100 utanunua??
An extremely stupid question,passed.

Najuwa wanasema "there's notupid question lakini duuh!Mteja haulizwi maswali ya kijinga kama hayo.
 
Wapi nimetukana we cheupe????? Afu ndio unanipga biti au? Tehe teh Ritz kahtaan eti cheupe ananipiga biti na kuniambia niache matusi wakati yeye amemfata ndugu yangu ahmed deedat mpaka unbox kumtukana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom