Toyota Spacio new model

Toyota Spacio new model

mpushi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
280
Reaction score
77
Wakuu salama, nataka kununua toyota spacio new model, vipi uimara wake, spear zake na bei zake kwa showroom za Tanzania na kuagiza nje mpaka inifikie mkononi. Asanteni
 
Kampuni ya toyota spear huwa zinaingiliana na magari mengi sana ya toyota, kuhusu uimara wake ni utunzaji wako tu mkuu. Yangu ni hayo
 
Vipi kuhusu price zake mkuu mpaka inifikie mkononi?
 
Labda sijaelewa kwani magari yana mkuki? kwa maana ya spear, au vipuri kwa maana ya spare?
 
Back
Top Bottom