Decorder kwa ajili ya abu dhabi na al jazeera sports

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,100
Reaction score
440
Habari wakubwa,
Samahani ila nlikua naulizia mwenye kujua kuhusu Decorder ambayo inaweza kuweka kadi mbili ya abu dhabi na aljazeera na target yangu ni kulipia al jazeera kwa ajili ya kuonyeshea mpira na je wanatangaza kwa lugha gani,kiarabu au kiingereza?

Ntashukuru nikijulishwa kuhusu gharama na channel zao na hata lugha inayotumika katika kutangazia mpira.

Nawasilisha
 
Nami nisaidiwe kujua upatikanaji wa smart card ya aljazeera na gharama yake
 
Haya mkubwa na ukipata naomba unijulishe
 
HUMaX IR 3000 HD ya bein sport inatumia kadi 2 kuna channel 15 za HD na za kawaida kama 15 zote za sport, wanaonyesha ligi za England,Italy,Spain,France,Brazil,Holland, na uefa mechi zote ueropa,Fa cup carling cup,na friend match kibao,bila kusahau ligi ya mabingwa wa africa, malipo kwa Mwaka ni $100 authorised to middle east and north Africa only
 
nimeikuta kwenye bar moja hapa iringa nilipowauliza wahudumu wakasema wameunganishiwa cable.je huyo jamaa kaipataje?
 
HUMaX IR 3000 HD ya bein sport inatumia kadi 2 kuna channel 15 za HD na za kawaida kama 15 zote za sport, wanaonyesha ligi za England,Italy,Spain,France,Brazil,Holland, na uefa mechi zote ueropa,Fa cup carling cup,na friend match kibao,bila kusahau ligi ya mabingwa wa africa, malipo kwa Mwaka ni $100 authorised to middle east and north Africa only
Heheheeh pooooole kaka hyo mambo mbona inatumika sana huki majumbani mwetu aisee pesa akoo tuu na interest ila mechi za Uefa cjaziona ila wana channels nyingii sana nzuriii Sanaa kwa wanaopenda movies n series hapo ni sehemu Yao pia hata wale wa soccer loopy hapo napo patamu
 
Mpira unakuwa kwa Kiarabu mkuu..

Hapana si kweli, kuna channel za lugha tofauti. Unakuta mpira mmoja unaonyeshwa kwenye channel tatu tofauti moja kiarabu, nyingine kiingereza na nyingine kifaransa. Decoder zao haziha uwezo wa kubadilisha lugha kwenye channel hiyo hiyo moja.

Sina uhakika na gharama zao lskini ni cheaper kwa DSTV.

Tiba
 
Heheheeh pooooole kaka hyo mambo mbona inatumika sana huki majumbani mwetu aisee pesa akoo tuu na interest ila mechi za Uefa cjaziona ila wana channels nyingii sana nzuriii Sanaa kwa wanaopenda movies n series hapo ni sehemu Yao pia hata wale wa soccer loopy hapo napo patamu

we ulinunua wapi
unalipia sh.ngapi kwa mwezi
 
we ulinunua wapi
unalipia sh.ngapi kwa mwezi
jembe hyo mm niligharamika 300000 kwa kununua vifaa na kuwekewa dish...ila itabidi upate account ambayo utakuwa unafanya subscription ya $100 kila mwaka.soo kulipia ni $100 kwa mwaka wakati dstv ni $80 kwa mwezi
 
hello ndugu. Na mini nahitaji hicho kifaa. naomba kufahamu njia ya kukipata.
 
Tatizo story zimekuwa nyingi, baada wanaofahamu zinapopatikana waseme zinapatikana wapi na cost zake.
 
HUMaX IR 3000 HD ya bein sport inatumia kadi 2 kuna channel 15 za HD na za kawaida kama 15 zote za sport, wanaonyesha ligi za England,Italy,Spain,France,Brazil,Holland, na uefa mechi zote ueropa,Fa cup carling cup,na friend match kibao,bila kusahau ligi ya mabingwa wa africa, malipo kwa Mwaka ni $100 authorised to middle east and north Africa only

Habari mkuu samahani unaweza kueleza kidogo aina hiyo ya decoder (HUMx IR 3000HD) inapopatikana na bei yake? Na hayo malipo ya $100 yanafanyika wapi? Naomba pia kujua kama kuna aina hiyo ya decoder ambazo ni feki
 
Hapana si kweli, kuna channel za lugha tofauti. Unakuta mpira mmoja unaonyeshwa kwenye channel tatu tofauti moja kiarabu, nyingine kiingereza na nyingine kifaransa. Decoder zao haziha uwezo wa kubadilisha lugha kwenye channel hiyo hiyo moja.

Sina uhakika na gharama zao lskini ni cheaper kwa DSTV.

Tiba

Mkuu Tiba hawa kipindi cha nyuma walikuwa wanabadili lugha kwa remote lakini sasa kila mechi wanaonyesha kwa lugha 2 mpaka 3 ila sio kubadili kwa remote,mfano ligi ya England hd 1 wanatumia Arabic hd11 wanatumia English hiyo hiyo mechi moja,channel 11 mechi zote ni English pamoja na hd6 ukitazama hd15 wanatumia kihispania tu kifupi hakuna mechi ambayo hawatumii English labda kama hujaipata channel
 
Heheheeh pooooole kaka hyo mambo mbona inatumika sana huki majumbani mwetu aisee pesa akoo tuu na interest ila mechi za Uefa cjaziona ila wana channels nyingii sana nzuriii Sanaa kwa wanaopenda movies n series hapo ni sehemu Yao pia hata wale wa soccer loopy hapo napo patamu

Jitahidi kutazama leo uefa mechi ya man utd itaonyeshwa hd 1 hd 6 na hd 11 na channel 11, wanaonyesha mechi zote za uefa na Europa mkuu
 
Back
Top Bottom