inategemea na ukubwa na aina pia, bei kuanzia 250 hadi 450,Nashukuru Mkuu, zinauzika kwa bei gani mkuu?
inategemea na ukubwa na aina pia, bei kuanzia 250 hadi 450,
Playstation 4 mpya, 500Gb, ebay zinaretail kuanzia $500 halafu bongo ziuzwe 450 ni bora nisilete zitanikata, mimi naweza kuzinunua kwa laki tano mpaka dar, ingekuwa zinauzika kuanzia laki 6 sawa, lakini I would expect madukani hapa kwetu ziuzwe zaidi ya laki nane. Dah, poa kaka nashukuru kwa kunipa mwanga ngoja nisitishe huu mchakato.
Hayo ndiyo maneno sasa, tutakutana PM muda si mrefu.
Angalia usije ukaingizwa king tu! Me ninazo xbox 360 with kinetic na ps3 nauza kwa 400,000 mpaka dakika hii sijapata mteja! Kama vipi wakupe deposit kabisa to be on the safe side
Sent from my iPhone 5c using JamiiForums