Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Weka picha,bei,sehemu ulipo, mimi nipo Mbeya. Iwe brand inayoeleweka,sema kabisa ina tatizo gani,nataka nimpe shemeji/wifi yenu atupiage picha instargram nimechoka kuwaona kina wema na shilole,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Toshiba satellite l500 hdd 160gb ram 2gb bei 380,000/= 0765480855
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Wadau heshima kwenu, Kichwa cha habari chajieleza, Gari ambazo nnazipa kipaumbele ni Passo, Vitz, Swift 1.3, Nissan Note na Honda fit, Km zinatakiwa kuwa chini 100,000 bei yangu haitozidi mil 6...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
RAM 2GB PROCESOR.Intel celeron HDD 160GB BEI.380000/= 0765480855
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Duka kbwa la pkpk maarf kam WILLIUS MOTOR SELLERS llilopo sngda mjn eneo la jinery linauza pkpk bei poa simu:0719551026
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajf natafuta vitz au funcargo namba C au B ya mwishoni iliyonyooka .iliyokwenye hali nzuri (excellent condition). bajet 5mil ++ inawezakuongezeka kutoka hali gari.mazungumzo yapo.contact...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Jioni Wakuu..!! Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu...Nilikuwa nahitaji simu nzuri,mm nitakupa tshilingi laki 200,000/= pamoja na simu aina ya BlackBerry Bold 9780 (White)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji tablet yenye features zifuatazo: Iwe inasupport SIM card(gsm communication) Iwe ina camera Isiwe mchina
0 Reactions
3 Replies
989 Views
wadau nina mahindi tani 30 zipo manyoni singida nina uwezo wa kusafirisha mahali popote Tanzania au hata nje ya Tanzania iwapo kama tutakubaliana bei.pia kama unajua mahali ambapo naweza uza kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitaji hiyo cm iwe kwenye hali nzur na iwe first cop yenye 3g kwa tsh. 120000
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Wandugu wa JF, wiki iliyopita niliweka tangazo hili lakinibado sijapata mteja. Karibu tuwasiliane. Nauza gari yangu yenye specificationszilizopo katika link hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rejea my title hapo juu! Black Bery curve 8520 ipo sokon kwa 120,000! Hiyo ni bei ya kuanzia!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau pkpk tajwa hapo juu inauzwa 2.8 maelewano yapo ipo kaika hali nzuri sana ila vibali vyake vimeisha ina bidi ukinunua ulipie mana manahaijalipiwa ipo dar es salaam cm 0755984282 imetembea...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu naomba kupewa uzoefu kwa wenye gari za Toyota Brevis ninataka kuchukua hii gari hapa je Zina matatizo yoyote. Nainunua hapa dar je kuagiza kuna unafuu? Asante kwa mawazo
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Km kichwa cha habari kinavyojieleza nauza htc kwa 250,000/ tu.nimeitumia kwa miezi sita hipo ktk hali nzuri kabisa.0714 411041 au pm tufanye biashara nipo DAR
0 Reactions
1 Replies
965 Views
wakuu joto limekuwa kali sana uku kwetu mbagala... kuna fen nasikia unaweka maji then inatoa mvuke kama air condition.... naweza kupata wapi hizo feni na bei yake ikoje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau natafuta subwoofer ya mtumba kwa bei tajwa hapo juu iwe ina piga vizuri kwa ajili ya geto,nipo mwanza
0 Reactions
21 Replies
7K Views
mwenye nokia nzuri hasa X1 au X2-01 ama nyingine nzuri iwe inatumia memory card isiwe imechakaa na iwe nzima nna elfu 35 tu kama huna tafadhari mkuu usilete masihala hapa mi ni mwanajeshi shauri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fatilia link : I earned total 14189400$ from MY Home Based JOb - InternetDuty ! upate zaidi ya dola 300 karibu ndugu yangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shamba LA hekari 2 na 1/4 linauzwa millioni 4 lipo MLANDIZI makao mapya ni pazuri
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Back
Top Bottom