Nina Tsh 100,000 natafuta subwoofer ya mtumba

Nina Tsh 100,000 natafuta subwoofer ya mtumba

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Wadau natafuta subwoofer ya mtumba kwa bei tajwa hapo juu iwe ina piga vizuri kwa ajili ya geto,nipo mwanza
 
Wadau natafuta subwoofer ya mtumba kwa bei tajwa hapo juu iwe ina piga vizuri kwa ajili ya geto,nipo mwanza

Me ninayo aina ya VIBE original ina amplifier kabisa humo humo kwa ndani, like new
lakini bei ni 400,000
 
Me ninayo aina ya VIBE original ina amplifier kabisa humo humo kwa ndani, like new
lakini bei ni 400,000

mkuu ni made in wapi? rated power yake ni watts ngapi ( rms watts not output power-) , ni sub ya bass module peke yake au ni bi- amplified yaani iko na sub na satelite speakers? kama iko na vispika hivyo vya mid ni chanel ngapi, ni 2.1 au 5.1 kwa maana vispika 2 au 5-sorround?
 
Nitakutumia specification in few minutes


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Nitakutumia specification in few minutes


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums

ikiwezekana tupia na kapicha, nimechoka na sub za mchina, quality mbovu na sound distostation za kufa mtu
 
ikiwezekana tupia na kapicha, nimechoka na sub za mchina, quality mbovu na sound distostation za kufa mtu

Sorry mkuu vibe nilishauZa hii inaitwa edge hiko namna hii na specification zake ImageUploadedByJamiiForums1393429709.285210.jpgImageUploadedByJamiiForums1393429735.410393.jpg


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
I thought car subwoofer! Sorry mkuu..!


Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Hizo car subwoofer wauzaje niweke kwenye ka starlet kangu

450,000 Mkuu maonezi yapo, hii auitaji amplifire kwa sababu ina amplifire tayari, ww unachukua mojakwa moja kwa fundi anakufungia ni watts 900
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom