Wadau heshima kwenu,
Kichwa cha habari chajieleza, Gari ambazo nnazipa kipaumbele ni Passo, Vitz, Swift 1.3, Nissan Note na Honda fit,
Km zinatakiwa kuwa chini 100,000
bei yangu haitozidi mil 6.
Gari iwe hapa nchini, isiwe imetumika zaidi ya miezi 6 hapa nchini.
Iwe imelipiwa Kodi zote.
Serious seller only......ni PM, nitarespond kwa haraka.
Asante