Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za...
Mwanaidi alipata wazo la kutafuta wateja wa kukodi shamba lake la ekari 10 baada ya kumiliki eneo hilo kwa muda mrefu bila kuingiza kiasi chochote.
Eneo lake (Mwanaidi) lina uwezo wa kuingiza...
Habarini za leo.. ninauza kiwanja kipo kanyerere center ni mwendo wa dakika 10 kukifikia liko tambarare, umeme na maji vimefika..
Kiwanja ni 18m upana kwa 40m urefu, kiwanja kimepimwa ila hati...
Habari ndugu wana jamhuri ya muungano wa watanzania, nauza moja kati ya viwanja hivi.
1. Ukubwa wa ft 50X50 vipo 3, kimoja nauza
Kuna cha sh, 3,600,000 kimoja na 2,500,000 viwili
2. Ukubwa wa...
Natafuta Standing Fan (Fan ya kusimama yenyewe) Iliyotumika. Iwe Fan imara na siyo ya kichina. Ikiwa ni ya India, Uturuki etc ingependeza zaidi.
Iwe na ukubwa size ya kati. Napatikana Boko...
Habari nauza PAGALE nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kwenye kufunga rinta ya juu Bado kozi za juu yu kwaajili ya kuezeka
Location:kibaha loliondo, karibu na pangani hospital.
- vyumba vinne...
Dunia inarahisisha mambo!
Sasa unaweza pika chakula chochote Kwa haraka na gharama nafuu sana kuitumia pressure cooker ya kisasa.
Pika Maharage, mboga na nyama aina zote Kwa haraka na gharama...
Umewahi Kujiuliza Kwanini Unashauriwa Kupanda Miche Ya Matunda Msimu Wa Mvua Za Vuli?
Kwakuwa Tumekuandalia Miche Bora ya matunda Kwa kuzingatia vigezo vyote vya kitaalamu, tuna kila sababu ya...
Vitu vitano (5) Vya Kuzingatia Wakati unapoingia kwenye Kilimo cha Matunda.
1. Eneo
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kufahamu vizur jografia ya eneo, Hali ya hewa, kiwango Cha mvua n.k. Hii...
Hii Hapa Siri ya Parachichi Aina ya HASS.
Wengine wamezoea kuita parachichi upele, na hii ni Kutokana na Ganda lake kuwa na vinundu vidogo vidogo.
Parachichi Aina ya HASS Ndio parachichi ya kwanza...
Habari wanajamii. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Je, unahitaji website au blog kwaajili ya biashara yako?
Mimi ni nani?
Web systems developer nlie na uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika...
Usikubali kuingia 2024 bila kumiliki kiwanja. Pata kiwanja kibaha kwa Mfipa kwa mil. 2.5
Kutoka main road ni km.1.5
Huduma muhimu zote zipo
Wasiliana nami
0685223804