Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza gari, Suzuki Escudo. Year of manufacture 2006. Ukubwa wa Engine CC 1990. Reg No. BVK. Imetembea 185,000 kms. Ipo katika hali nzuri sana. Imekuwa ikiendeshwa na mtu mmoja tu mwanamke...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kijana lazima upambane! Natafuta vijana wawili(02) ambao wako Dodoma niwasaidie wajifunze udalali, wapambane kupunguza ugumu wa maisha. -Utachagua wewe kati ya magari au nyumba+viwanja ama vyote...
4 Reactions
9 Replies
569 Views
Natafuta hawa viumbe niwafuge, naona wanaigeria wanakazana kuwafuga, nami nimevutiwa. Anaewajua jina kwa kiswahili anaweza anasema.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Kiwanja kinauzwa KITUNDA DAR ES SALAAM, kiwanja hiki ni kikubwa mita 30*40 bei milioni 23 tu...! Unaweza ukajenga nyumba 2 za wastani... na car parking kidogo ikabaki. Barabara ya mtaa inafika...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 BEI million 12 kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
12 Replies
940 Views
Wakuu, Wale watu Classic karibuni. Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer. Mbezi beach Africana Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Simu zote ni mpya zipo kwenye mabox yake: [emoji336]OPPO A57 2022 128GB, TSH250,000/= [emoji336]REDMI 13C 128GB, TSH 269,000/= [emoji336]CAT S62 128GB, TSH 370,000/= [emoji336]OPPO A17 128GB, TSH...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Nyumba ya ghorofa inauzwa ipo Bahari beach bajeti.nyumba imefc Lami na panaafa kwa biashara na makazi pia. Ina vyumba 4 vyote ni self Size plot 1200 SQM Bei 680m Mawasiliano zaidi 0756060183...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Usd, euro Mpya kabisa. Piga 0712347749
0 Reactions
6 Replies
666 Views
Kwenye upande wa ufundi unaweza ukawa na vitu vifuatavyo mafundi wakaja kukodisha wakafanyie kazi kwa maana mafundi wengi tu nawajua wana ujuzi ila hawana vifaa. TOOLBOX SET GRANDER MACHINE ZA...
1 Reactions
3 Replies
625 Views
Milili Kiwanja chako sasa kwaajili ya Makazi, kupitia mradi wetu wa viwanja uliopo VIKINDU VIANZI OBEY. KUMBUKA: Ukubwa wa viwanja ni 40 × 50 Kuna huduma za kijamii Vuwanja vina hati halali...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye kujua ubora wa godoro tajwa hapo juu naomba aniambie mana na nikitaka kujua hili ni lenyewe au feki nagunduaje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ram 4 Storage 64 Duos laini mbili Haina tatizo lolote Ipo kwangu tu Sent from my Titan using JamiiForums mobile app
0 Reactions
8 Replies
499 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…