Itakuwa yako ikikufaa

Itakuwa yako ikikufaa

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,556
Wadau kama una ndugu, jamaa au rafiki yupo interest na vitu hivi.

Ni Camera Sony 3CCD DCR 2200 VX ipo katika hali nzuri na inafanya kazi kadiri upendavyo, betri yake ikiwa fully charge ina uwezo wa ku_run through LCD zaidi ya masaa 8-9, kupotia viewfinder ni 10-14hrs. Built in mic ipo ila ina tatizo dogo lililosababishwa
na handling wakati ikipokelewa, lakini kutokana
na hilo ina External BOOM mic yenye.uwezo
mzuri.
Inatumia DV na Memory Card 6-8high speed.
Ukifanikiwa kuinunua basi unapata Tripod
na Betri charger with ran cam.

Naongea ila naanzia hapa 1.7ml.
Toll-free 0773036064.

jp IMG_20141007_165329.JPG (22.7 KB)
 
Back
Top Bottom