Nauza mikanda ya kupunguza tumbo

Nauza mikanda ya kupunguza tumbo

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
Habar wapendwa.

Nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba ndani ya siku 7 tumbo limeisha. Nauza elfu 30.

Karibun sana.

Napatikana kwa namba 0712620078
 
Weka picha tafadhari, pia effect za mikanda hiyo kwa mwili wa binadamu,
 
Habar wapendwa.

Nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba ndani ya siku 7 tumbo limeisha. Nauza elfu 30.

Karibun sana.

Napatikana kwa namba 0712620078

Mkuu hii mikanda si inalibana tu tumbo, je hizo nyama zinaelekea wapi au ndo zinahamia kwingine? weka picha kama walivyoomba wadau.
 
zinabana kweli tumbo na linaisha lote
 
mikanda ya kupunguza tumbo wadau.elfu 30.nakuletea ulipo.0712620078
 

Attachments

  • 1412762415468.jpg
    1412762415468.jpg
    75.3 KB · Views: 623
Any side effect?
Kuwa mkweli na jibu maswali ya wadau we are interested in your business ujue?
 
Weka picha tafadhari, pia effect za mikanda hiyo kwa mwili wa binadamu,

Naunga mkono hoja.

Mkuu hii mikanda si inalibana tu tumbo, je hizo nyama zinaelekea wapi au ndo zinahamia kwingine? weka picha kama walivyoomba wadau.

Any side effect?
Kuwa mkweli na jibu maswali ya wadau we are interested in your business ujue?

jamaa hana taarifa na huelewa wa kutosha na huelewa kuhusu hiyo bidhaa
 
Bado sijapata majibu ya kutosh, Naomba uvae mkanda mmoja kisha jipige picha tujue jinsi unavyovaliwa
 
hamna effect yoyote jaman.

Jibu maswali kulingna na unavyo ulizwa, biashara yako then hujali maswali ya wateja,
Onyesha huelewa wa biashara mkuu, uwatoe watu hofu
 
hamna effect yoyote jaman.

Sasa hayo matufa au manyama yanaelekea wp au yanatokaje mwilini na yale yanayokuja na kukaa hapo yanakuwa yanaelekea wp?

Una guarantee kuwa ni kweli siku saba...lisipo isha unajiwajibisha vp kwa wateja wako
 
jaman maswal yenu ni magumu cwez jibu.kuna watu weng wameshatumia na imewasaidia kama hamuamin bas mm nikiwa mmoja wapo.kama hamuamin bas
 
jaman maswal yenu ni magumu cwez jibu.kuna watu weng wameshatumia na imewasaidia kama hamuamin bas mm nikiwa mmoja wapo.kama hamuamin bas

Mambo ya hutaki unaacha.
 
mikanda ya kupunguza tumbo wadau.elfu 30. nakuletea ulipo.0712620078View attachment 191415

Powa, niletee miwili niko na pesa yako keshi, nipo kijiji kinaitwa endulen huku ngorongoro, nipo kwenye research huku hakuna mobile network kwa hiyo siwezi kupiga simu, alafu chonde chonde usije sema ni kwa wanawake tu kwamaana hujaeleza hilo kwenye uzi wako. Nakusubiri kwa hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom