Natafuta Laptop ya kununua

Natafuta Laptop ya kununua

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,408
Reaction score
2,282
Habari wana jukwaa!
Naomba msaada wenu pia kuuliza eti wapi naweza pata duka au mtu anayeuza laptop mpya kw bei nafuu kwa hapo jijini dar es salaam?
Laptop iwe na sifa hizi:
-Toshiba au Acer
-Ram 2gb
-Hdd 320-500.

Nimejitahidi kujichanga na kupata pesa kidogo ndo nahitaji kupata laptop kwa matumizi yangu tu ya kawaida na bajeti yangu ni kuanzia 350k-480k.
 
Nenda pale makutano ya barabara ya morogoro na bibi titi. Pale karibu na kituo cha mafuta kuna duka la computers wanajiita Maisha Computers pale kuna laptop toshiba sh 450,000. Sijui kuhusu specs zake!

Baada ya kukufanyia hii consultation sababisha hela ya bia!
 
Ahsante ndugu #UkomboziMpya kwa msaada wako ila naomba mawasiliano yao hao wauzaji ili niweze kuwasiliana nao kwanza waweze kunipa clear specification kabla sijafika dukani ka manunuzi kwani niko nje ya jiji kidogo.
Kuhusu chochote hakika nitakukumbuka.
 
Nimekutumia kwa PM namba ya Maisha Computers
Karibu
 
Habari wana jukwaa!
Naomba msaada wenu pia kuuliza eti wapi naweza pata duka au mtu anayeuza laptop mpya kw bei nafuu kwa hapo jijini dar es salaam?
Laptop iwe na sifa hizi:
-Toshiba au Acer
-Ram 2gb
-Hdd 320-500.

Nimejitahidi kujichanga na kupata pesa kidogo ndo nahitaji kupata laptop kwa matumizi yangu tu ya kawaida na bajeti yangu ni kuanzia 350k-480k.

Hapo kwenye 480k fanya kuongeza elfu arobaini uende ukapate Toshiba mpya yenye specs hizi

Processor 2.3
HDD 500 gb
Ram 4gb
 
Hapo kwenye 480k fanya kuongeza elfu arobaini uende ukapate Toshiba mpya yenye specs hizi

Processor 2.3
HDD 500 gb
Ram 4gb

ahsante mkuu!
Ni duka gani naweza pata kwa bei hiyo na vipi kuhusu mawasiliano yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom