Jipatie Dell flat screen desktop kwa pei poa

Jipatie Dell flat screen desktop kwa pei poa

fugees

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
2,868
Reaction score
884
bei yake ni 220k kama upo interested piga simu 0764506509 nipo ubungo mataa
 
Weka picha na bei ya mwisho unaweza ukatushawishi
 
wakuu namba hyo hapo kama vp bonyeza kama hauko vzur kwa mda huu fanya kama unadeep hivi
 
Hiyo dell screem ndio nini? ni bidhaa mpya hebu tuwekee kapicha ndio tunaweza kuelewa kiyo kitu
 
iliye na uhitaji pga cm hyo au just hav a single deep iko na hali nyur kabsa
 
Hiyo dell screem ndio nini? ni bidhaa mpya hebu tuwekee kapicha ndio tunaweza kuelewa kiyo kitu

acha wewe hata ukitaka kuuza line ya m-pesa bado utasema weka picha!
 
acha wewe hata ukitaka kuuza line ya m-pesa bado utasema weka picha!

Ala kumbe ulikuwa una maanisha screen,mwanzo uliandika screem ndio maana nikahitaji picha kwani sijawahi kusikia au kuona kitu kinaitwa dell sreem.
 
Me nauza hiyo complete 300,000 ImageUploadedByJamiiForums1412981138.313721.jpgImageUploadedByJamiiForums1412981167.739516.jpgImageUploadedByJamiiForums1412981189.960412.jpg
 
Back
Top Bottom