mjasiliamali14
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 147
- 21
Wakuu mnavyojua kwa sasa maisha yalivyo tight nimemaliza na shahada yangu nimetafutafuta ajira ndani na nje kwa muda wa miaka mitano nikaona nijitupe kwenye ujasiliamali. Kwa hiyo nina mashamba ya korosho nahitaji soko la korosho wenye kuhitaji kwa wingi popote ndani ya Tanzania naomba tuwasiline kwa email yangu mjasiliamali14@gmial.com