Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza king'amuzi changu cha Startimes kwa elfu hamsini tu (50,000/=) nipo Moshi anaehitaji tuwasiliane 0655 609058
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Kinondoni ,unashuka studio mtaa wa Mwijuma. Bei yake Tsh Milioni 270 piga simu 0715595956/0756595959
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jaman kwa mwenye pkpk kubwa(mfano wa xl baja) aina yoyote ya kchina anaiuza tuwacliane ninunue, ofa 1M.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Shamba ekari 2 liko ruvu stesheni 30minutes from mlandiz Iiko karbu na mto ruvu 10mita liko Poa kwa kilimo cha umwagiliaji ardhi iko safi bei 3mil Ukihitaji mashine na mipira kwa umwagiliaji...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
gari tajwa hapo inauzwa manufacture year 2000 milage 193000km engine capacity 1990 five doors white bei ni milioni 10 mawasiliano 0714358610
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta chuma moro mjini kikubwa kinachoweza fanyiwa partition ama kama vipo viwili vikubwa pia nisawa.mazingira ya nje yawe ya kuridhisha.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
iwe na atleast 2b/rooms, sehem nzuri Eneo mwenge kuelekea tegeta, Laki 2.5 kwa mwezi bila dalali 0789634651
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Nauza nokia C3 kwa elfu 60
0 Reactions
1 Replies
755 Views
inch 28 mpaka 32 kama unayo weka bei hapa tufanye biashara au pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salama wakuu? Simu tajwa inauzwa bei maelewano (PM), Ni line mbili bila kuzikata, ina miezi kama 4 tangu inunuliwe, black colour, ina vitu vyake vyote na sababu ya kuuza nimepata nyingine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf simu haina ya ACER Z130 inauzwa ni android version ya 4.2.2 rang yake ni nyeupe haina tatzo anaeitaj namba ni 0659-991891.
0 Reactions
0 Replies
805 Views
galaxy s2 in a good condition inauzwa its comes with a latest android version kitkat 4.4.4 bei 280k kwa anaeitaka anichek 0767879784 kwa picha zaid
0 Reactions
2 Replies
647 Views
8GB - 20,000 16 GB - 30,000 32GB - 40,000 Weka order yako sasa kwa 0716 154531
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Nimeshtuka mapema,sasa lazima nifanyikiwe kimaisha,na wewe niunge mkono kufanya yafuatayo 1.USIKUBALI KADI ZA HARUSI Ndugu zangu pesa za kuchangia harusi au swndoff ni hasara na ujinga kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu? Nahitaji Blog kwa ajili ya kutangaza biashara yangu ndogo mpya, anayeweza kutengeneza kwa budget ndogo kabisaaaa tuwasiliane.Anipatie bei yake ya chini kabisa na muda atakaotumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza external hard disc mpya yenye 500 gb kwa shs.80,000.kama upo interested nichek 0716385824
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Wakuu naombwa kujuza nauli ya ndege kutoka KIA-DAR(return ticket) ni kiasi gani ijumaa jioni - jpili jioni kwa precision air na kama fly 540 ipo regards
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kichwa cha habari chahucka Natafuta mavyuma mazito yakunyanyua niwe na 6 parks nivutie warembo Mwenye nayo tukutane PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajnvi wenzangu,nilinunua bb9900 kwa mtu dar,sasa dogo nilie mwagiza anichukulie waga anavunga mjuaji sana,baada ya kuichukua akai factor reset,haikuwaka tena,ikawa ukiwasha inawaka...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…