Nahitaji kiwanja kwa 2.5m

Nahitaji kiwanja kwa 2.5m

king90

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
368
Reaction score
222
Wakuu habari! kwa hapa dsm wapi naweza pata kiwanja cha wastani kwa ajili ya kujenga nyumba ya makazi kwa2.5M?
 
kipo makabe msakuzi mbezi ya kimara 20*20 kama uko tayari ni pm no yako
 
Mmh kiwanja ama bei zq mabango ya adv pale salenda

kuwa makin na madalali
 
kipo mbande, (20*20 )m ukifika mbande kituoni nauli ya bodaboda ni 1500 mpaka site
 
Kibaha, picha ya ndege, 20*20, kama uko tayari nitafute, yaani ni PM au hapa 0656142433
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom