nahitaji desktop ya dell au laptop

nahitaji desktop ya dell au laptop

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
174
sifa iwe na ram isiyopungua 2gb
hdd 500gb
in a good condition na bajet yngu ni 350k kwa laptop na 300k kwa desktop pia make sure upo moro.
 
sifa iwe na ram isiyopungua 2gb
hdd 500gb
in a good condition na bajet yngu ni 350k kwa laptop na 300k kwa desktop pia make sure upo moro.

Ongeza 50 nikupe desktop dell 2gb ram 500gb hdd 19inch lcd monitor
 
sifa iwe na ram isiyopungua 2gb
hdd 500gb
in a good condition na bajet yngu ni 350k kwa laptop na 300k kwa desktop pia make sure upo moro.

ImageUploadedByJamiiForums1413381879.335197.jpgImageUploadedByJamiiForums1413381894.204905.jpgImageUploadedByJamiiForums1413381909.278570.jpgImageUploadedByJamiiForums1413381925.717822.jpg

Kamata hiyo mkuu 300,000 maongezi yapo lkn ram yake aijafika ukubwa unaotaka sema kitu kimekwenda shule..!
 
Back
Top Bottom