Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wanaosafirisha mbaazi kutoka mikoani kuja DSM wasihangaike kutafuta soka kwa manufaa yao. BM IMPEX ndio mkombozi wako. Uza mbaazi kwa bei nzuri na yenye manufaa kwako. Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
habari za majukumu ma bibi na mabwana napenda kuwafamisha nauza vitunguu kwa mtu yoyo aliyendani ya tanzania vitamfikia mwenyekuitaji naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Habari wakuu....nahitaji samsung s3 nina tsh laki 2 ila nitakupa na Tecno phantom A plus (A+) bado mpyaaa...nakupa na all ts accessories. kama unahitaji tufanye biashara ni PM au nitafute kupitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mpangaji kapata uhamisho wa ghafla kwahyo anahamia sehemu nyingine na alishalipia kodi ya miezi 5@60000. Chumba single room,ceiling Board,Umeme na maji yanapatikana hapo hapo.Kipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RAV 4, MODEL JT172SC,UK MODEL,WHITE STATION WAGON,121163KMS,PETROL,RIGHT HAND,VERY GOOD TYRES,POWERFUL CAR SUBWOOFER MUSIC. Milioni kumi na mbili 12,000,000 PM kwa mazungumzo tafadhali
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wapi naweza kupata naomba msaada kwani hapa Mwanza nimekosa
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Iphone iko na hali nzuri bei 350 0717385177ATTACH]193586[/ATTACH]
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Anayehitaji tuwasiliane kipya kabisa kipo full set!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari wandugu..napenda kuuliza hiz gar new model show room zinaenda shilingi ngapi? kwa mwenye uelewa jamani...asanten na wkend njema wapendwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kipo barabarani bagamoyo karibu na KIROMO HOTEL.. kina ukubwa wa 20*20 (hatua) umeme na maji vipo karibu na gari inafika mpaka kiwanjani...watu wamejenga (uzunguni)..nyumba ya vyumba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jf nawasalimu nyote na kuwatakia a good weekend...nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa wenye kujua mambo ya hisa za NMB. Nilinunua hisa za NMB wakati nikiwa mwanafunzi mwaka 2007 zilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu? Ninauza Nissan Pick up, ya mwaka 1989,capacity yake 2 tons, inatumia Diesel.watu watatu wanakaa kwenye kibini ya dereva. Ipo tu imepaki nyumbani na ipo kwenye hali nzuri zaidi ni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Unlock Iphone Free 4 - 5s works as standalone application from your desktop. Who uses a cheap copy? When the original does the same thing for same price ! For risks and side effects ask your...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mwenye kuhitaji tuwasiliane 0717794592
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba mnifahamishe Dealer/ Partner/ Service Centre wa SAMSUNG products in Tanzania.
0 Reactions
6 Replies
29K Views
Webcam, Ram 2Gb, HDD160GB 0716154531 Bei Laki 4
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Imetumika miezi 2 tu. 4 GB internal memory. 2 GB external memory Camera 5MGP Screen protector Cover Bei 110000 0768497592 nipo dar
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Nakufanyia installation ya program zote muhimu kama vlc,mozilla,google chrome,adobe reader na nyingne kibao hyo hutolei pesa ni pc zenye 4GB ram 500 GB hard disk na processor core i5. 2.5GHZ very...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Pata bata mzinga wakubwa kwa wadogo wanaokua na uwezo wakua na mpka kg 15 pia bata mzinga ni pambo nzuri la nyumbani kwa mawasiliano 0757- 662401
0 Reactions
88 Replies
11K Views
Iwe Boxer No C Tuma picha wasap. # zero, seven, one, three, zero, nine, eight, six, double four
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom