Chumba kinahitajika Temeke Wailes

Chumba kinahitajika Temeke Wailes

Farmer82

Senior Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
183
Reaction score
39
Wadau ninatafuta chumba maeneo ya Temeke Wailes!chumba kiwe kwenye eneo tulivu na kusiwe na muingiliano sana wa watu!napendelea kiwe self ila hata kama si self basi kiwe katika mazibgira ya watu waliostaarabika!kwa mwenye nacho naomba ani pm
 
Mkuu hapa labda ungeomba namba za madalali wa maeneo husika!la sivyo no ngumu kupata nyumba
 
vipi ushapata kuna kimoja kipo mwananyamala
 
Back
Top Bottom