Nauza viwanja kibaha mailimoja

Nauza viwanja kibaha mailimoja

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Habari zenu wote na kwa wakubwa shikamoo.Kwa wale/yule mwenye mahitaji ya kiwanja/viwanja kama unatoka Dar kwenda Kibaha upande wa kulia 5km kutoka ilipo Mizani.Maji yapo karibu na huduma ya umeme imekaribia kabisa. 15 x15 (m) TShs.4,500,000/= vipo vinne na ukivitaka vyote inawezekana kwa yule aliye na utayari awasiliane nami kupitia +255 784 505171 au +255 715 505171.Gari ndogo inafika mpaka site bila matatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom