Asiee kweli hapa ndio wabongo tunapokwama.
Yaani tangazo unaandika kama vile teja la mtaani?
Uandishi wa mtu ndio unabeba pciha yako kwa watu kisaikolojia.
na Ndio maana humu JF kuna watu wameweka Avatar fulani ili kuchukua mawazo na fikra ya mtu juu ya yeye alivyo.
Kuwa makini kaka kama ni mfanyabisahara,usije kustka umri umeishakwenda ndio unaona uanze kubadilika.
We Tangazo makini na wala haihitaji shule,pitia post za wenzio kisha weka kwa kufuata wenzio.
Heading mbaya,post yenyewe sijui hata lugha gani.
Lengo lako ni zuri lakini uwekaji wako wa post jifunze