Tukijua kwambaa cv ni kitu cha kwanzaa mwajirii anaangalia kablaa ajaamua kukuita kwenye interview, inatubid tuifanye iwe bora na ya utofauti ili kupataa uzito wakutosha.. kwa njia hii...
Wapendwa wana Jf Poleni na majukumu.
Kutana na jopo la mafundi walio bobea katika upigaji rangi nyumba maofisi na maeneo yoyote ambayo ungependa yapambwe kwa Rangi. pia tunachanganya rangi kwa...
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei...
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000.
Lakini...
Ni Toshiba Satellite, ilikuja na Windows 7 now nimeiweka Windows 8.1, RAM 4gb, 460gb HardDisk, Intel core i3,
Sababu ya kuiuza nataka kununua nyingine yenye specification kubwa zaidi.
Nimeitumia...
Wadau natafuta kiwanja maeneo ya bunju au salasala kwa condition zifuatazo
1.Ukubwa wa angalau sqm 800 na kuendelea
2. Gari lazima iwe inafika eneo husika
3.Pawe na access ya umeme
Mwenye...
ITEL Solutions has proved to be expensive for most of the VOIP Customers, because of following reasons:-
Expensive first payment for dedicated ITELSWITCH
Expensive payment towards...
Wadau inahitajika,
Cresta Gx 100 au aina yoyote ya style kama yake.Kama Mark II , Chaser nk
Muhim:-
Iwe 4 Cylinder
Kuanzia 2000 kwenda Juu
Number kuanzia C kwenda Juu
Picha zake
nauza dishi la free channel pamoja na dicorder yake ambavyo vyote vimetumika kwa miezi 6 tu na ni vizima kabisa bei ni tsh 170,000/= tu kwa vyote. cont 0753505115 ,0715 505115...
Habari wakuu.
Kama headline inavyojieleza nahitaji mtaalam wakunidizainia logo Ambayo nitaitumia kwenye biashara yangu. Na hata kuiprint kwenye t-shirt na hata blog.
Mtaalamu ajitokeze tuelewane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.