Habari wandugu wangu wa JF! Kama kuna mtu anauza sofa ya watu wa tatu na kabati dogo la vyombo anicheck, nataka kupamba ka chumba kangu maana nishachoka kuishi kisela. Viwe katika hali nzuri na bei iwe ya kitu used. Nipo buguruni Dar, na vitu niambiwe vipo wapi. Mawasiliano tutaanzia PM