Nipo Dar Es Salaam, nahitaji used laptop, mac yenye ukubwa hdd kuanzia 300+, ram 2 na speed reasonable, kama unayo tuwasiliane tafadhali, natanguliza shukurani.
Hello unakaribishwa Enterprise finance limited(EFL), kwa huduma ya mikopo ya haraka na masharti nafuu.Tupo Dar es salaam na Arusha. kwa mawasiliano zaidi piga simu no.0763882788 au 0656862682...
Hellow guys ... Kwa yeyote mweenye kujua chuo/vyuo vya nje (international university) vyenye reputation(jina zuri) ambavyo undergraduate anaweza kusoma akiwa hapa hapa nchini ..., naomba kama...
Wadau nazalisha miche ya pilipili mbuzi hoho na aina nyinine ya pilipili kwa oda miche ni ya mbegu bora kabisa.Pia ukihitaji miche ya nyanya naweza pia kuzalisha.Kama unahitaji piga 0754583634
Ramani za nyumba za kawaida na maghorofa:
Ramani za nyumba za kawaida sasa ni 250,000- 300,000.....kama inakuwa na mabanda ya nyuma(servant quarter) inakuwa ni sh 35000
Ramani za ghorofa...
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei...
Habari zenu wakuu.. kama heading inavyojieleza kuna samsung galaxy s advance yenye rangi nyeusi ina uzwa kwa bei poa ya maelewano. Ipo kwenye hali nzur na accessories zake. Kama upo tayar ni pm...
Wakuu nitaipataje hii mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi ya kuwekea vitu.
Pia nahitaji kujua bei yake na namna ya kuiendesha. Nina ishu zangu zinaitaji sn vifungashio ila hii ya mtaani...
Habari za muda huu wakuu. Nna bajeti ya 300000 laki tatu nahitaji Samsung Galaxy S4 sio Clone isiwe imechoka sana wakubwa. Mchana mwema. PM tu kama unayo.
Nahitaji pikipiki Boxer used ninunue fasta. Iwe nyekundu japo nyeusi sio mbaya. Iwe imutumika si zaidi ya miezi mi4. Offer 1.5. Mwenye nayo anitaarifu fasta naihitaji kabla ya alhamisi nisafiri nayo.