Shamba (estate) inauzwa bei poa

Shamba (estate) inauzwa bei poa

AIRE MAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
221
Reaction score
65
Shamba kubwa ina ekari mia moja ya kahawa na eka mia4 isiyolimwa.inanyumba nzuri yakisasa na ngombe.bei ni bilion 8.
 
Ipo karatu karibu na hifadhi ya ngorongoro.dalali hatakiwi.
 
Tangaza ALIBABA humu hakuna mwenye pesa hiyo akiwepo fisadi.
 
Billioni 8? Kumbe kuna watu wana pesa siku hizi, na faida yake inarudi baada ya muda gani
 
Back
Top Bottom