Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

ISENUKA

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
81
Reaction score
10
Nyumba ina vyumba 7, na stoo, ipo kibaha picha ya ndege,bei ni 20ml na maongezi yapo,
MAWASILIANO:
0686958013
0687477625
 
Hii Hapa,chini kuna dhahabu
f.jpg
 
haipendezi kwa watu wazima na akili timamu katika ukumbi wa matangazo madogo wakahamisha na kuingiza ukumbi wa jokes, inakera, inaudhi sana hawa haipendezi kabisaaa
 
haipendezi kwa watu wazima na akili timamu katika ukumbi wa matangazo madogo wakahamisha na kuingiza ukumbi wa jokes, inakera, inaudhi sana hawa haipendezi kabisaaa
Sasa Selina we nyumba unayouziwa ipo wapi.
Si hiyo ndio picha ya ndege,yaani juu ndege wanaweka viota.
Selina amenuna kwa kumuona mama yake ametoka na Kipedo cha Kanga na pozi la picha
 
Nyumba ina vyumba 7, na stoo, ipo kibaha picha ya ndege,bei ni 20ml na maongezi yapo,
MAWASILIANO:
0686958013
0687477625

Ukubwa ws kiwanja ni vipi? umbali toka main road? ina maji na umeme au? Ya urithi au? kunaingilika kwa gari!? vyumba saba ina maana ilikuwa ya wapangaji na choo ni nje na bafu pia? Niko interested nikishajua yote hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom