Samsung galaxy s advance inauzwa bei poa

deebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
353
Reaction score
229
Habari zenu wakuu.. kama heading inavyojieleza kuna samsung galaxy s advance yenye rangi nyeusi ina uzwa kwa bei poa ya maelewano. Ipo kwenye hali nzur na accessories zake. Kama upo tayar ni pm kwa maelezo na maelewano zaid
 
NiPM tumalize busness mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom