Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji pikipiki Boxer used ninunue fasta. Iwe nyekundu japo nyeusi sio mbaya. Iwe imutumika si zaidi ya miezi mi4. Offer 1.5. Mwenye nayo anitaarifu fasta naihitaji kabla ya alhamisi nisafiri nayo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani natafuta laptop nzuri kwa bei nzuri na uwezo mzuri, hata kama ni used, naomba tuwasiliane
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,nipo chuo kimoja hapa nchini.sasa nataka wakala nitakayechukua computer kwake nije kuuza hapa chuo.wateja tayari ninao,if upo interested nichek pm tuzungumze
1 Reactions
0 Replies
868 Views
Nyumba ina vyumba 7, na stoo, ipo kibaha picha ya ndege,bei ni 20ml na maongezi yapo, MAWASILIANO: 0686958013 0687477625
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana jf kuna nyumba inauzwa jijini dar mitaa ya makonde mbezi kwa atakae hitaji au ana muhitaji tuwasiriane kwa 0766255499
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Rejareja: 8 gb ni 13,000 4gb ni 9,500..piga no 0658663325 . Wanaohitaj kwa jumla piga simu .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa hapo juu kinavyojieleza...nahitaji simu yenye uwezo wa ku support whatsup. ..bajeti ni Sh.70. Iwe katika hali nzuri. My number 0689 309 344 au unaweza ukani pm
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Nawakaribisha wote walio tayair ku-generate an extra cash 3millions for only 3 months mbali na shughuli zao za kila siku kupitia an amazing part time opportunity. If you want to get things you...
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Tupo Toangoma kuelekea kigamboni karibu na kituo kipya cha Oil com utaona bango letu.Ndanda aluminium .0719744806.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nyumba yenye vyumba 5 inauzwa,iko tabata mawenzi ipo kwenye mazingira mazuri,miundombinu kama maji,barabara na umeme vyote viko poa bei ni shilingi milioni 50 mazungumzo yapo. #0714358610
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wandungu zanguni naomba msaada wa kuelekezwa hapa Dar es salaam mahala ambapo naweza pata kununua viti vya nyuma, Carrier, ngao ya mbele na nyuma vya Toyota Noah, natanguliza asante!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba mpya yenye vyumba 3 vya kulala,kimoja master,jiko,sebure,choo cha public inauzwa iko tabata segerea bei ni shilingi milioni 80 mazungumzo yapo #0714358610
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tukijua kwambaa cv ni kitu cha kwanzaa mwajirii anaangalia kablaa ajaamua kukuita kwenye interview, inatubid tuifanye iwe bora na ya utofauti ili kupataa uzito wakutosha.. kwa njia hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi nahitaj honda click iwe katka hali nzuri....aliyenayo anipm
0 Reactions
2 Replies
954 Views
DELL OPTIPLEX 755 RAM 2GB,HDD 250GB,INTEL CORE2,Windows 7 64bits,Adobe cs6 Master collection yaani program zote za adobe. Monitor 19inch, Keyboard Mouse office 2007 BEI 245,000/= 0717017820
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mtu anayeuza laini za tigopesa , mpesa na airtell money. Kama unazo na unauza nipm au nipigie kwa 0789737868 niko dar
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Salaams! Natafuta hiyo simu maana nimesikia inadum muda wa mwezi mzima kwa full charge moja. solutions@oric.co.tz 0764800989
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Wapendwa wana Jf Poleni na majukumu. Kutana na jopo la mafundi walio bobea katika upigaji rangi nyumba maofisi na maeneo yoyote ambayo ungependa yapambwe kwa Rangi. pia tunachanganya rangi kwa...
5 Reactions
81 Replies
24K Views
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Wadau viwanja vinauzwa, ni njia ya kwenda Bagamoyo kama unatoka Dar es salaam, vimepimwa,idadi yake ni 80 kila kimoja kina hati, ukubwa ni kuanzia square mt 650-1500. Bei 13,000,000. Lakini...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Back
Top Bottom