Wakuu nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa ft 50 x 50 eneo la Mbagala Maji Matitu. Kiwanja kipo umbali wa 1.3km kutoka barabara ya lami inayoelekea Mbande na Chamazi ambayo kwa sasa inapanuliwa. Pia kimezungukwa na nyumba, umeme upo, maji yapo nyumba ya pili tu na eneo linafikika kwa gari kutokea pande zote. Bei ni 10 million. Anayehitaji aje PM tuongee zaidi.