Shamba linauzwa Kibaha ekari 6

Shamba linauzwa Kibaha ekari 6

Adoo

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
73
Reaction score
29
Ninauza shamba lenye ukubwa unaokaribia ekari 6, liko katika kijiji cha SOGA, mkoa wa Pwani, Kibaha. Kijiji kinajengewa "Dry Port" yaani bandari ya nchi kavu, shamba liko karibu na kijiji (shamba la mjini) , ni zuri na mimi ndiye muhusika hakuna dalali. Kila ekari ni shs 3m tsh. Tafadhali wasiliana nami kwa namba 0685646786.
Aksanteni
 
Ndani kuna mazao gani, au ni shamba pori
 
aiseee babayangu nadhan hili shamba c lako maana nadhan kama 4,linakaribia ekari 6 hauna uhakika na unacho kiuza,
napita 2
 
aiseee babayangu nadhan hili shamba c lako maana nadhan kama 4,linakaribia ekari 6 hauna uhakika na unacho kiuza,
napita 2
Sikulipima kuwa na uhakika thats why, siwezi kudanganya nikawa tapeli ni bora niwe muungwana na kusema ukweli, ila inaonekana kwako hujalifikiria hilo
 
Back
Top Bottom