Wakuu heshima kwenu, tunauza laini za tigo pesa, mpesa, na airtel money. M pesa ni 100000, airtel money 100000, tigo pesa ni laki tatu, kumbuka, sisi tunakuunganisha na mawakala, na pia hizo laini...
Habari wakuu.
Nyumba ina sebule na chumba kimoja chenye choo ndani.
Ina luku ya kujitegemea.
Maji yapo ndani(tank la kuhifadhia endapo yakikatika lipo lt 5000)
Nyumba ni mpya haijawahi...
Hapa pia naomba waje wataalam wa
kuzichambua hizi Noah kwa faida ya sie
watumiaji.
Maana kuna
Liteace
Townace
Tourer
Nk
Zipi zenye kustahimili shurba ya kazi ngum na
rafiki wa mafuta
Wadau, nauza Rav 4 milango mitano, ya mwaka 1998 cc 1998 ipo katika hali nzuri sana. Sababu ya kuiuza imekosa mtumiaji hivyo tumeona si vizuri ikae bila kutumika. Bei 6M.
jamani natafuta simu tajwa hapo juu, used kwa bei ya laki 3, kama kuna mtu anauza tuwasiliane mimi kwa sasa nipo bariadi, kama upo musoma, mwnza, shinyanga naweza kuifuta bila shida tukielewana bei.
Wadau, nauza Rav 4 milango mitano, ya mwaka 1998 cc 1998 ipo katika hali nzuri sana. Sababu ya kuiuza imekosa mtumiaji hivyo tumeona si vizuri ikae bila kutumika. Bei 6M.