Nyumba inapangishwa kibamba hospital

Nyumba inapangishwa kibamba hospital

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,098
Reaction score
1,176
Habari wakuu.
Nyumba ina sebule na chumba kimoja chenye choo ndani.
Ina luku ya kujitegemea.
Maji yapo ndani(tank la kuhifadhia endapo yakikatika lipo lt 5000)
Nyumba ni mpya haijawahi pangishwa.
Iko ndani ya uzio.
Kodi ni laki moja kwa mwezi.
Utalipa miezi sita kila wakati wa mkataba.
Kwa mahitaji call.0712458872 (mwenye nyumba)
...karibuni.....
 
Wakuu,bado mpangaji anahitajika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom