King'amuzi cha Startime kinauzwa

King'amuzi cha Startime kinauzwa

kidonto

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
2,322
Reaction score
3,604
Ni kama bado kipya, kipo full kazi yako niku-connect waya wa antena na kuanza kula vitu, bei 60,000 nipo Dar mwenye uhitaji tuwasiliane kwa 0769535559
 
Mnauza Changu cha EasyTV. Hakina Remote. Ila antenna yake ipo. Bei ni Tsh 50,000 tu. Nifaute PM kwa maelezooo Namna ya kuwasiliana nawe uanze kuburudika na Muvi za kufa mtu.
 
Kinakuwa na chanel ngapi? Na vp ulipiaji wake

MKuu channel ni nyingi zaidi ya 200, kuna vifurushi vya aina 3 na kiwango kidogo kabisa ni 12,000 kama sijakosea, ukiacha channel za kulipia kuna bongo free channel.
 
Kweli kaka yani nina hiyo 40 hata ukiniambia tuonane tufanye biashara poa nipo tayali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom