Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu, Nahitaji kununua vinyago vizuri vinavyo akisi tamaduni ya kiafrika. Kama kuna mtu ambaye anafanya hii biashara au unamjua anayefanya hii biashara, tuwasiliane kwa pm.
1 Reactions
0 Replies
934 Views
Mwenye hii kitu tuwasiliane tafadhari nahitaji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RAM 4GB HDD 300GB INTEL CORE i3 SPEED 2.1GHZ WEBCAM CD/DVD RW FINGERPRINT WINDOWS 7 PROFESSIONAL 64bits OFFICE 2010 CHARGE INAKAA MASAA 4 BEI LAKI 5 (500,000/=) PM kama ukoserious
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Samsung galaxy S2 inatafutwa kwa 220....kwa maelezo zaidi uje kwa p.m
0 Reactions
1 Replies
705 Views
TUNATAFUTA TRUCK FIAT 682 YENYE HELPER AXLE INAYOTEMBEA YA KUNUNUA BEI NI MAELEWANO TEGEMEA NA HALI YA GARI ISIZIDI 5 mln MAWASILIANO PM
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Desktop Hard Drive capacity 500 GB Type SATA manufacturer Seagate i am also selling A 2GB RAM, type SDRAM DDR3 call 0714 404780
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Nauza gari aina ya toyota laver 4 dar bei 10ml
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Gari tajwa juu inauzwa kwa bei ya 3.8tu gari ni ya mwaka 1996 usajili wa no zake ni A injini iko safi inatembea ila imeisha vibali toka januari sababu ya kutolipia nilikuwa ngambo kimasomo pia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba vinne, kimoja ni master, sebule, dinning, jiko, public toilet na store. Maji yanapatikana, iko ndani ya uzio, pia ina hati iko Tabata sanene. bei ni shilingi milioni 150...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunaprint, T-shirts, Caps, Banners, Conference bags, Wheel covers, Handcachiefs,Pia tunatengeneza mabango ya aina Mbalimbali, kama zinazowaka taa na za kawaida. Wote mnakaribishwa. Tupokaribu na...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Natafuta fundi mzuri was kunitengenezea PC yangu...Niko Dar es salaam... Ni PM wapi nikufate.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natafuta gari ya kununua mwisho tsh. M.4 nitafute kwa no 0765610904 Sawa wakuu
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Puppies wa Maltese 8 weeks wanauzwa, wameshapata chonjo wa kwanza. Bei ni Tsh 300,000. 0715744767
1 Reactions
0 Replies
806 Views
hp laptop inauzwa imetumika two wiki tu..
0 Reactions
5 Replies
938 Views
natafuta gati aina rav 4...nataka kukunua...link mi 0713409381
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Chumba na SEBULE vinapangishwa,Vipo eneo la Misufini jirani na hospitali ya St MAry.contact no.0712852454-Chepe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga chalinze chumba sebule na choo kiwe ndani na umeme na maji viwepo.. budget laki moja 0785347080
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Weight: 2.44kg memory: 8GB memory typ: DDR3 screen memory: 2GB screen size: 15.6 screen resolution: 1366*768 screen feature: HD bright view LED graph type: NVIDIA Getforce 840M processor...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji ni pm. Bei: Tsh. 50,000/=
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jipatie s3 mpya kabisa kwenye boksi na accessories zote...kwa 400,000 tu....piga 0713409381
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Back
Top Bottom