Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

You're invited to a special education opportunity... Join fellow alumni and industry friends at this event featuring GIA experts visiting Tanzania. The afternoon will include two presentations...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Comparing the Real Estate Market: In Kenya: better to rent than buy. In Tanzania: better to buy than rent. Price to Rent ratio as Advertised for a 4 (four) Bedroom Propertyin selected Areas In...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi nauza Toyota starlet glanza yenye engine capacity 1330cc...fuel petrol...ni automatic....model ep91...colour black....made in japan...seating capacity 5. Ina DVD player na CD...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, Anayeuza lumia 620 tuwasiliane 0764513354 niko serious
0 Reactions
3 Replies
917 Views
Habari wadau mimi nauza mayai ya kwale bei yake ni elfu 25,000/= kwa tray. Aidha nauza vifaranga vya kwale vya kuanzia wiki mbili bei kwa kila mmoja ni 4000.. Kama unahitaji huduma hiyo unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
gari aina ya Toyota mark ii grand inauzwa kwa shilingi milioni 6.5 haina tatizo hata kidogo njoo na fundi wako uicheki kwa uhakika zaidi IPO vikindu nje kidogo ya jiji la dar.gari imelipiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Godoro 5x6 na Vyombo vya ndani, maeneo ya Mburahati Gini=80,000 tu call 0769 356124
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 8,919 lililopo Gongolamboto Moshi Bar kwa Diwani linauzwa. Ni eneo lenye majengo ya shule na mazao mbalimbali. Wasiliana na Musa namba 0653410175 au 0657741517...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nataka kununua pooltable la bei rahisi sana hata used.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wenye products za forever living, natafuta dawa ya meno ya forever bright, moja tu. nipo maeneo ya kariakoo. 0758 717754
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenye kuhitaji kufanya biashara nami anicheki hapa 0715553166
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Habari za asubuhi wapendwa! Alhamis jion saa kum na nusu Jioni kutakuwa kuna event nzuri ya fursa ya biashara na uchumi hapo katika ukumbi wa mwalimu Nyerere international conference centre...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
hadd 250 ram 2gb procecor intel 1.72ghz betri inakaa masaa matatu na kuendelea ipo na begi lake atakaye hitaji tuonge namba 0716628257
0 Reactions
0 Replies
694 Views
B.M Impex tunawakumbusha kuwa bado tunaendelea kupokea korosho, lakini zile za Mtwara tumezisimamisha kwa muda. Kwa sasa tunapokea korosho za Tunduru kwa bei yetu nzuri ya shilingi 1500 kwa kilo...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
hadd 250 ram 2gb procecor intel 1.72ghz betri inakaa masaa matatu na kuendelea ipo na begi lake atakaye hitaji tuonge namba 0716628257
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Habari wakuu. Gari aina ya Toyota Ipsum au Gaia inatakiwa. iwe katika hali nzuri namba ya mawasiliano 0653 670322
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wana-Jamiiforums. Nimejitokeza hapa nahitaji mkopo wa Milioni 1 kwa Riba ila nitampatia Hati ya Kiwanja kiwe kama collaterall. Mwenye uwezo huo anicheki : 0767948594
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Internet inaweza kukufanya kuwa tajiri
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapi wanapatikana mbwa wadogo aina ya german shepherd?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu, Nahitaji kununua vinyago vizuri vinavyo akisi tamaduni ya kiafrika. Kama kuna mtu ambaye anafanya hii biashara au unamjua anayefanya hii biashara, tuwasiliane kwa pm.
1 Reactions
0 Replies
934 Views
Back
Top Bottom