Nahitaji kununua vinyago

Nahitaji kununua vinyago

Joss

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
765
Reaction score
192
Habari zenu,

Nahitaji kununua vinyago vizuri vinavyo akisi tamaduni ya kiafrika. Kama kuna mtu ambaye anafanya hii biashara au unamjua anayefanya hii biashara, tuwasiliane kwa pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom