Hard disk 500GB
RAM 2 GB...
location; Sinza Dar es salaam
Bei..450000 tu.......
haina tatizo lolote lile bado ni mpyaaaa nauza tu kwa vile nina shida na pesa kwa sasa, wahi sasa nafasi ndo...
We ShareSuccess Inc. is now starting to offer free real company shares during thisperiod of its pre-launch up to February 19th 2015 for would be users of thePerfect Internet websites.
You get...
used Original Nokia x3.02.5 touch and buttons phone 5mp camera whatsapp n.k na 50,000 cash nipe simu yenye uwezo mzuri nipo dar nicheki 0688 206680
kwa picha nicheki whatsap hapa zimekataa
Flexible tanks za kijerumani zinauzwa.Make yake ni BUSCHERHOFF zinaweza kubeba hadi lita 25,000
Zinawafaa exporters au importers wa bidhaa za vimiminika,mafuta na baadhi ya kemikali
Interested...
nipo Dar, nauza simu tajwa hapo juu kwa laki Na nusu, simu Ni used ila ipo kwenye Hali nzuri, betri ipo vizuri kabisa Na haijabadilishwa, kwa mwenye uhitaji Ni pm
Nahitaji kupata vitabu vyote vya mtunzi mahiri marehemu Elvis Musiba, Sihitaji hizo mnaita cjui soft nini nini huko.....mi nataka vitabu halic kwa mwnye navyo iwe vyote au baadhi nahitaji...
Nyumba inapangishwa ipo kipunguni A 2km kutoka Banana Ukonga.
Ina vyumba nane haina master ila ina choo ndani, marekebisho machache ndani ya wiki moja tu kwasababu ilikuwa imepangishwa...
Nyumba inapangishwa ipo kipunguni A 2km kutoka Banana Ukonga.
Ina vyumba nane haina master ila ina choo ndani, marekebisho machache ndani ya wiki moja tu kwasababu ilikuwa imepangishwa...
HP LAPTOP iko kwenye hali nzuri sana ila tatizo betri inakaa na charge kwa karibia saa moja hivi . Ni Window 7,4gb ram,500gb HDD,dual core 220ghz . Bei TSH 450,000.00 .Simu 0712652110 DAR
You're invited to a special education opportunity...
Join fellow alumni and industry friends at this event featuring GIA experts visiting Tanzania. The afternoon will include two presentations...
Comparing the Real Estate Market:
In Kenya: better to rent than buy.
In Tanzania: better to buy than rent.
Price to Rent ratio as Advertised for a 4 (four) Bedroom Propertyin selected Areas In...
Ndugu zangu mimi nauza Toyota starlet glanza yenye engine capacity 1330cc...fuel petrol...ni automatic....model ep91...colour black....made in japan...seating capacity 5.
Ina DVD player na CD...
Habari wadau mimi nauza mayai ya kwale bei yake ni elfu 25,000/= kwa tray. Aidha nauza vifaranga vya kwale vya kuanzia wiki mbili bei kwa kila mmoja ni 4000.. Kama unahitaji huduma hiyo unaweza...
gari aina ya Toyota mark ii grand inauzwa kwa shilingi milioni 6.5 haina tatizo hata kidogo njoo na fundi wako uicheki kwa uhakika zaidi IPO vikindu nje kidogo ya jiji la dar.gari imelipiwa...
Eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 8,919 lililopo Gongolamboto Moshi Bar kwa Diwani linauzwa. Ni eneo lenye majengo ya shule na mazao mbalimbali. Wasiliana na Musa namba 0653410175 au 0657741517...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.