Laptop inauzwa, Bei 800,000/=

Laptop inauzwa, Bei 800,000/=

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Weight: 2.44kg

memory: 8GB

memory typ: DDR3

screen memory: 2GB

screen size: 15.6

screen resolution: 1366*768

screen feature: HD bright view LED

graph type: NVIDIA Getforce 840M

processor: intel core i5-42104U

processor speed: 2.7GHz

Company: HP

model: PAVILION 15-PO18STJ2S67EA

optical drives: supermulti DVD

hard disk: 750GB

Windows 8.1 64 bit

card reader: available

rangi: nyekundu

imetumika miezi 10 kwahiyo bado mpya.

bei: 800,000Tsh. ( hii ni bei ya kutupa kwa hiyo haipungui. ukiwa mwanamke utafikiriwa)

unahitaji ni pm
 
HP yenye features kama hizo ikiwa ni MPYA kabisa unaipata madukani, mfano M.City kwa 850,000 tu.

Kabla ujafanya matangazo mitandaoni, fanya kwanza utafiti wa bei ya soko.

By the way, hiyo sentensi ya "ukiwa mwanamke utafikiriwa" imeharibu sana tangazo lako. Next time, avoid that when advertising.
 
seriously! 850, 000!! tena mpya! sikatai labda mchina! kuhusu kutumia hiyo sentence sioni ubaya kuonesha upendeleo kwa dada zetu!
 
nikajua ni apple brand kumbe ni ujinga ujinga bei haina uhusiano na.
 
.....bei: 800,000Tsh. ( hii ni bei ya kutupa kwa hiyo haipungui. ukiwa mwanamke utafikiriwa)

unahitaji ni pm

HP yenye features kama hizo ikiwa ni MPYA kabisa unaipata madukani, mfano M.City kwa 850,000 tu.

Kabla ujafanya matangazo mitandaoni, fanya kwanza utafiti wa bei ya soko.

By the way, hiyo sentensi ya "ukiwa mwanamke utafikiriwa" imeharibu sana tangazo lako. Next time, avoid that when advertising.

Ni kweli mkuu huenda ukaona hicho kipengere hakina madhara, lakini kuna kundi la watu utawakosa......jaribu tu kukiondoa sidhani kama kitaleta madhara sana.
 
nikajua ni apple brand kumbe ni ujinga ujinga bei haina uhusiano na.

wenye pesa wameshachukua. wewe kachukue za mchina zinazouzwa laki mbili zinazipatikana mtaa congo na mlimani city ambazo zinaendana na bei yake.
 
HP yenye features kama hizo ikiwa ni MPYA kabisa unaipata madukani, mfano M.City kwa 850,000 tu.

Kabla ujafanya matangazo mitandaoni, fanya kwanza utafiti wa bei ya soko.

By the way, hiyo sentensi ya "ukiwa mwanamke utafikiriwa" imeharibu sana tangazo lako. Next time, avoid that when advertising.

Kwa hiyo yamaanisha ukienda kariakoo waipata kwa laki 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom