Vifaranga na Mayai ya Kwale 'Quails' Yanauzwa

Vifaranga na Mayai ya Kwale 'Quails' Yanauzwa

jmoss

Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Habari wadau mimi nauza mayai ya kwale bei yake ni elfu 25,000/= kwa tray. Aidha nauza vifaranga vya kwale vya kuanzia wiki mbili bei kwa kila mmoja ni 4000.. Kama unahitaji huduma hiyo unaweza kunipata kwa namba 0715 750 504/0754 750 504 au 0717 283 166. Maelezo ya namna ya kufuga ntakupatia..

Faida za kwale kiafya ni nyingi hivyo nunua mayai ya kwale kwa ajili ya afya yako.
 
Back
Top Bottom