Eneo linauzwa Gongo la Mboto Dar es salaam

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 8,919 lililopo Gongolamboto Moshi Bar kwa Diwani linauzwa. Ni eneo lenye majengo ya shule na mazao mbalimbali. Wasiliana na Musa namba 0653410175 au 0657741517 au 0713613319.

Pia kuna nyumba ya vyumba saba pamoja na strong room na fremu ya duka inayojitegema iliyopo maeneo ya Buza kwa Lulenge, Mtaa wa Cape Town inauzwa kwa bei nafuu. Eneo lina uwanja mkubwa wa kuweza kujenga nyumba nyingine. Piga simu namba 0654692628 kwa mawasiliano zaidi.
 
Back
Top Bottom