Pikipiki boxer na fekon for sell

Pikipiki boxer na fekon for sell

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
Boxer bei 1.5 ina mwaka mmoja card ipo
 

Attachments

  • IMG-20140914-00791.jpg
    IMG-20140914-00791.jpg
    427.2 KB · Views: 560
  • IMG-20140914-00792.jpg
    IMG-20140914-00792.jpg
    416 KB · Views: 662
  • IMG-20140916-00978.jpg
    IMG-20140916-00978.jpg
    468.2 KB · Views: 618
Bei ya Boxer ikiwa MPYA ni Tshs. 2 mn. Na unapewa guarantee ya mwaka mzima. Sasa hiyo yako ni chakavu unauza kwa Tshs 1.5 mn!? Kuwa serious kijana.

Kama kweli unataka kuuza hiyo Boxer angalau ufanye kwa Tshs. 1 mn.
 
Tangu Tangazo litoke si inakaribia robo mwaka umekatika.
Mgusi hembu weka Km zake

Maana hili swali ungeulizwa mwanzo ingesaidia.

Na kama mpaka leo hazijatoka basi kuna tatizo,maana watu kibao wanauliza Pikipiki,so itakuwa wanakuja kuzikagua lakini kuna mushkel hapo
 
Nilishauza zote hizo ...zipo zingeni zina miezi 7-8...bei 1.4 boxer. Hilo tangazo ni la mda .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom