Jipatie software kwa ajili ya kusimamia biashara yako

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Software inaweza kukusaidia kusimamia biashara yako vizuri pamoja na kujua wapi pa kukuza na kupunguza ili kuweza kufikia malengo.
 
ikoje hiyo ndg?

ninayo business management system ambayo nacustomize according to biashara ya mteja, iwe ni duka,kampuni,hotel,ufugaji au management ya asset yeyote.inafanya mpaka payroll kwa wafanyakazi na mambo mengine mengi
 
Software inaweza kukusaidia kusimamia biashara yako vizuri pamoja na kujua wapi pa kukuza na kupunguza ili kuweza kufikia malengo.

Nahitaji soft wire ambayo naweza fufanya kazi ya ledger book, kurekodi bei ya kununulia na kuuzia,kukokotoa faida na hasara. Kama unayo naomba tuwasiliane. nimewahi kupata kama mara mbili hivi but zilikuwa na mambo mengi mno eg kodi, mishahara, bima, bank, wauzaji etc ambavyo sivihitaji huku vitu vya msingi kabisa ambavyo navihitaji vikikosekana.
 
ipo,unapatikana wapi,nipe namba yako na email tuwasiliane.
 
Software inaweza kukusaidia kusimamia biashara yako vizuri pamoja na kujua wapi pa kukuza na kupunguza ili kuweza kufikia malengo.
eti Unayo software ya hotel upande WA reception inaitwa Fidelio suite 8 management system
 
Busines software withought a system to feed the software ni bure kabisa, kama umeshindwa kusimamia wafanyakazi/mauzo usitegemee kuwa by installing a software itakuwa rahisi, kwanza tengeneza business system ya biashara yako then leta software

Haya ni maoni yangu nawe unayako( na mrespect mleta mada na wote waliochangia) je yako je......
 
Back
Top Bottom