Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba (Eneo) zuri na safi, limeshang'olewa visiki vyote na kusafishwa kwa buldozer. Lipo tambarare na limeshapimwa. Lipo katika eneo lenye mchoro Wa Ardhi na sio Squater. Mchoro ni housing...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wiki 50,000/= nipo Dar es salaam kwa mkataba ILA sitahitaji boxer naogopa kifo labda fekon,sanlg na nyinginezo namba yangu 0714064767
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa yeyote ambaye yupo interested. 0754237973
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chumba kinapangishwa kipo mbezi beach jogoo karibu na top garage bae maji, umeme ndani ya geti kubwa. call 0752945710
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF...msaada wa kupata mashine ambazo hutumia cement pamoja na udongo then baada ya kuchanganya mchanganyo huo hupata tofali ambazo haziitaji kuchomwa.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa mita 20x40 maeneo ya kinzudi usukumani. Mkataba wa mauziano na cheti cha umiliki toka halimashauri ya wilaya kinondoni kinachotolewa na serekali za mtaa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
unga wa mifupa ya sangara kama chakula cha kuku na nguruwe ukitaka nicheki 0762655938
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock uweze kutumia laini zote kwa bei rahisi sana, mfano blackberry, nokia na iphone kwa njia ya software ni elfu 30 tu. Pia ninatoa lock wa njia ya imei (simu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nahitahi Huawei Y530 kwa dau la 100,000/=
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ina Vyumba vitatu vya kulala, kimoja self contained, public toilet and bathroom, sebule, dining na jiko. Nafasi kubwa ya parking. Ipo Ilala sharif shamba. Kwa mawasiliano piga 0654308809. Email...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
wadau natafuta vyumba viwili vya kupanga maeneo ya mwenge yanayotazamana name barabara za chuo na Sam nujoma. Maji yawepo na gari ifike bajeti yangu ni 100,000-120,000 contact 0718 587667
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ina vyumba viwili na sebule, choo cha nje, haina jiko. Ipo Sinza Palestina nyuma ya Mwika bar. Ni nyumba ya pili kutoka barabarani. Kodi 200,000/= inatakiwa ya miezi 4, anarudishiwa mtu amehamia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari waungwana. Nahitaji kufahamu bei ya Simu TECNO M7 kwa sasa ni Shilingi ngapi?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
nahitaji vyumba viwili vya kuishi maeneo ya mwenge mlalakuwa,mpakani au savei Maji yawepo na nyumba isiwe ya wapangaji wengi pia gari ifike bajeti 100-120,000 pia kama vipo maeneo ya ubungo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ipo karibu na shule ya secondary feza, ni vyumba vitatu vya kulala,master moja,sebule kubwa,uwanja mkubwa,geti na iko baribarani kabisa.. ni laki 8 kwa mwezi,malipo mwaka moja.. interested ani pm
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari. Nyumba ipo pugu kajiungeni maeneo ya kwa mwema, mbele kidogo ya shule ya msingi pugu kajiungeni. Nyumba yenye vyumba vitatu,sebure,chumba cha kulia(dinning room)...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Aina ya Simu: Sony Xperia T - LT26i, Hali yake: Used & haina michubuko, Uwezo:16GB internal memory, 1GB ram, Camera: 13mpx camera & 1.7mpx cam ya mbele, OS: Android OS...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji pikipiki aina ya boxer iliyotumika kwa mwaka mmoja au miezi kadhaa iwe katika hali nzur na isiwe imefunguliwa engine kwa matatzo fulan au laaha mimi nipo dodoma lakin kama ipo hapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama una hizo simu au mojawapo weka bei yake na no yako nikupigie.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inahitajika cm moja aina hiyo kwa kwa bei ya 70,000Tsh.
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…