miss lucy
Senior Member
- Oct 17, 2014
- 109
- 15
Nahitaji pikipiki aina ya boxer iliyotumika kwa mwaka mmoja au miezi kadhaa iwe katika hali nzur na isiwe imefunguliwa engine kwa matatzo fulan au laaha mimi nipo dodoma lakin kama ipo hapa dodoma au dar es salaam hakuna tatzo kwa mawasiliano kwa picha tumia whatsap no 0783966466