Anayehitaji Wateja katika Biashara yake, tuwasiliane

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Je una Biashara Na unahangaika kupata Wateja?, siri imefichuka.

Kwa yeyote mwenye Biashara ambayo Wateja wake wengi ni kutoka nje ya Tanzania, Biashara kama ya hotel, utalii au yoyote ambayo wateja wako unategemea kutoka Ulaya, Marekani au Asia Na hata baadhi ya nchi za Africa, basi wasiliana Na mimi nitakuletea hao watu (real human).

Masharti: Lazima Biashara yako iwe Na website.

+255769142586 pia whatsapp kwa namba hiyo hiyo au info@fadhilipaulo.com
 
Naomba tuanze na hizi properties zangu mbili:

Penguin Resort Hotel Arusha Tanzania na
Rena Lodge & Hostel | Feel at Home

Hizo ni Hoteli na Lodge na Hosteli pia.

Naomba msaada wako.
Je una Biashara Na unahangaika kupata Wateja?, siri imefichuka.

Kwa yeyote mwenye Biashara ambayo Wateja wake wengi ni kutoka nje ya Tanzania, Biashara kama ya hotel, utalii au yoyote ambayo wateja wako unategemea kutoka Ulaya, Marekani au Asia Na hata baadhi ya nchi za Africa, basi wasiliana Na mimi nitakuletea hao watu (real human).

Masharti: Lazima Biashara yako iwe Na website.

+255769142586 pia whatsapp kwa namba hiyo hiyo au info@fadhilipaulo.com
 
Wazo zuri lakini huwa napenda kulipia kitu baada ya kupata huduma au kuhakikishiwa 100% hiyo huduma itakuwa kama tulivyokubaliana kwa uthibitisho.Zaidi ya hapo napenda kufanya ka kazi na mtu yeyote atakayeniletea mgeni/wageni kwenye properties zangu kwa malipo ya commissions.

Asanteni.

Mkuu huyu Fadhili hujamuelewa vizuri,dnio maana anakuambia muwasiliane.
Ni kwamba huduma hiyo lazima ulipie kwanza ndio kazi ifanyike
 
Wazo zuri lakini huwa napenda kulipia kitu baada ya kupata huduma au kuhakikishiwa 100% hiyo huduma itakuwa kama tulivyokubaliana kwa uthibitisho.Zaidi ya hapo napenda kufanya ka kazi na mtu yeyote atakayeniletea mgeni/wageni kwenye properties zangu kwa malipo ya commissions.

Asanteni.

Hii ni Pay First Mkuu. Kama una wasiwasi uache tu. Bali wanasema "A business man is a risk taker", hata hapo hotelini kwako bilashaka watu wanalipa kwanza. Ila wakati mwingine wasiwasi ndiyo akili yenyewe kwahiyo bado upo sahihi tu
 
Back
Top Bottom