Birika linauzwa bei poa

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
730
170
Ipo Dar es salaam inauzwa bei 35,000 sababu yakuza nimenunia nyingine ipo nzima sana ya Singapore karibuni 0755984282
 

K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,634
2,000
Mkuu Emma. ukiona kitu aghali au hakiendani na unavyodhania....wewe pita kimyakimya.......hiii ni kutokana na ulichokisema.....kimewakwaza wanunuaji wengi ikiwapo mimi nikiamini kuwa kuna sehemu zinzuzwa rahisi zaidi.....(na ambapo hujatuelekeza).....na zaidi, itampa wakati mgumu sana mshikaji kuuza bidhaa yake!

pengine ungefikiri kumwandikia in pm, labda ingemfanya na muuzaji kupunguza bei yake kulingana na ufahamu wako!

Nisamehe lakini!
 

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
730
170
Uko sawa kabisa msese swala lililopo nikutaja bei hela ninyingi hata ikiwa miambil ninyingi na inaheshumika nimeweka bei ambayo twaweza kulewana tukafikia mwafaka ukanunua Mkuu kwan bei sio fixed
 

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
730
170
Umeona hekimatele kafika bei sasa Patrick dah tena unajuna lababangu aya bwana ngoja nimp matafute
 

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
730
170
Hii ndio jf kupondewa kwenye biashara huwez kwepa kwakwel hasa kinangumbaro dah hatari sana
 

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,344
2,000
wengine tumekuja fasta baada ya kukosea kusoma na kuona "bikira" inauzwa ......ndio maana views zaidi ya 150, lakini replies 8. hahahaha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom