Shamba la Nguruwe linauzwa

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Heshima kwenu wakuu! Naomba niwatarifu kuwa ninauza shamba langu la nguruwe. Zaidi ya nguruwe shamba lina mbuzi na kanga.
 
Mbona hutaji jina la eneo? Pia fafanua hiyo bei inajumuisha na mbuzi, nguruwe na kanga waliomo humo? Ni vizuri ukatoa takwimu (idadi) za hiyo mifugo.
 
Mbona hutaji jina la eneo? Pia fafanua hiyo bei inajumuisha na mbuzi, nguruwe na kanga waliomo humo? Ni vizuri ukatoa takwimu (idadi) za hiyo mifugo.
ndiyo inajumuisha. Nimeweka namba hapa so kama unataka maelezo zaidi tuwasiliane.
 
Hata tupicha tumoja tu twa mabanda na tumifugo twenyewe tungehamasisha wanunuzi pia.
 
kwa nn watanzania wengi tunaficha details za bidhaa tunapozinadi mitandaoni....mwenye idea pls anisaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom