Kiwanja kwa ajili ya makazi au biashara kinauzwa, kipo Pugu Buyuni manispaa ya Ilala, njia ya kwenda Chanika.
Kimepimwa, kina hati, ukubwa 967 sequre meter, bado hakijabadilishwa jina kutoka...
Salama wadau,
Kwa yeyote amabaye anahitaji mayai ya kuku wa kisasa ya kutotoleshea tuwasiliane kwenye number 0717332652,Both layers and Broilers. Tray nauza TZS 15,000 Nagatioablexx.
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock uweze kutumia laini zote kwa bei rahisi sana, mfano blackberry, nokia na iphone kwa njia ya software ni elfu 30 tu. Pia ninatoa lock wa njia ya imei...
Habari za majukumu wakuu, Leo nimekamatwa na ukata nahitaji Pesa chapchap. Ninauza Samsung galaxy note 3 chlone. Ipo vizuri, nimeitumia mwezi mmoja ila screen imecrack kiasi. Bei ni laki 3 na nusu...
TUNANUNUA MAGARI YA ZAMANI.
Tunanunua magari ya zamani yenye sifa zifuatazo:
1. Iwe TOYOTA SALOON car tu.
2. Namba "A" na "B".
3. Iwe imetunzwa vizuri.
4. Iwe na Body...
Habari wakuu! Nauza vifaa vifuatavyo:
1.Canon photocopier mashine ,model Ir1600,ni used na ipo katika hali nzuri sana. Bei ni tsh 1Million.
2.Rico aficio 3045 photocopier mashine, ni used na...
Hizi ni aina ya spy camera, baadhi ya hizo zina uwezo wa kuchukua video na picha. Ikiwa Hd. Hizi zote zinachukua video, baadhi na picha. Kama unavyo ona unaweza kuunganisha na simu yako kwa wifi...
Nipo dar es salaam ni Fundi computer mzoefu kwa kurekebisha matatizo mbalimbali ya laptops na desktops kwa upande wa hardware na software nipo Kariakoo msimbazi pia Nina unlock modem zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.