Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Habari wakuu! Nauza vifaa vifuatavyo:
1.Canon photocopier mashine ,model Ir1600,ni used na ipo katika hali nzuri sana. Bei ni tsh 1Million.
2.Rico aficio 3045 photocopier mashine, ni used na imeagizwa kutoka nje na haijatumika kwa hapa Tz. Bei ni 3.8Milion
3.Mashine ya kutengenezea juice ya miwa,ni modern mashine ,haijatumika zaid tu ya kuifanyia majaribio binafsi nyumbani.ni portable na inauwezo wa kukamua miwa kg 300/hr.inatumia umeme.Bei 1.6M
4.Ipad 2 genuine,16gb, WiFi+3G, bei ni usd 550.
Mawasiliano:
E-mail: abuufirdaus@yahoo.com
Simu: (please ni-PM nitakupa if you are a serious buyer, i adhere to the caution made here kuwa tusiweke namba za simu kwenye social medias )
Usafiri: bidhaa zote zipo Tanga, usafiri wa kuzifikisha hadi Dar es salaam ni juu yangu kwa mteja atakaenunua.
Tulipo: tupo Tanga barabara 13 kwa barabara ya Jamaa.
Picha: najaribu ku-upload hapa zinagoma, kwa anaeweza nimtumie whatsapp aziweke hapa.
Natanguliza shukrani. kama halikuhusu pita kimya.