Una wasiwasi!? Spy camera zipo

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,010
Hizi ni aina ya spy camera, baadhi ya hizo zina uwezo wa kuchukua video na picha. Ikiwa Hd. Hizi zote zinachukua video, baadhi na picha. Kama unavyo ona unaweza kuunganisha na simu yako kwa wifi baadhi ya Hizi spy camera.
 
Attachments

 • 1417464016248.jpg
  1417464016248.jpg
  32.1 KB · Views: 263
 • 1417464023778.jpg
  1417464023778.jpg
  32.9 KB · Views: 255
 • 1417464031818.jpg
  1417464031818.jpg
  51.2 KB · Views: 250
 • 1417464044660.jpg
  1417464044660.jpg
  48.5 KB · Views: 252
 • 1417464053228.jpg
  1417464053228.jpg
  58.8 KB · Views: 239
 • 1417464060751.jpg
  1417464060751.jpg
  29.3 KB · Views: 228
 • 1417464068360.jpg
  1417464068360.jpg
  64.2 KB · Views: 232
 • 1417464078658.jpg
  1417464078658.jpg
  69.5 KB · Views: 227
 • 1417464088378.jpg
  1417464088378.jpg
  76.4 KB · Views: 230
 • 1417464101538.jpg
  1417464101538.jpg
  78.4 KB · Views: 236
 • 1417464110518.jpg
  1417464110518.jpg
  52.7 KB · Views: 234
Nipo London, nina chalee wangu yupo zanzibar, yeye ndio supply wangu, kama Upo dar item kufika ni rahisi na utapatiwa mzigo wako.
Unaweza kutoa physical address ya suppler wako ili tuunganishani...me ni mdau wa hii kitu!
 
Unaweza kutoa physical address ya suppler wako ili tuunganishani...me ni mdau wa hii kitu!

Hakuna tatizo, mimi ndie ninae nunua hivi Vitu na kumtumia supply wangu, kama unahitaji mazungumzo ya biashara tuwasiliane, tutajuana zaidi na Nitakupatia contact. kama una watsup Nitumie private msg jf, or email me ghalib@live.ie
 
Umejinadi as spy ware vendor sasa unataka tena kujua wateja wako zaidi huoni hutendei haki privacy zao?
 
Umejinadi as spy ware vendor sasa unataka tena kujua wateja wako zaidi huoni hutendei haki privacy zao?

Sijataka kujua privacy zao, mawasiliano ni hasa katika suala la business ni privacy, na humu wengine hawapendi kuweka contact zao ndio maana natoa maelekezo ya private conversation.

Matumizi ya hivi Vitu, Inategemea na mtu mwenyewe, kutumia vibaya au vizuri, Matukio ndo kama yale mtoto anavyo pata kisago kwa mfanya kazi wa ndani.

Wasiliana na 0655706975
 
Back
Top Bottom